Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-: Vijana kadhaa walikuwa wakila matunda, lakini wengi wao walikuwa hawaamalizi na walikuwa wakiyarusha pembeni yakiwa bado hayajaliwa kwa kukamilika. Imam Ridha (a.s) akawaambia: “Iwapo nyinyi mmekula na hamuhitaji, basi kuna watu wanaohitaji. Wapeni wao haya matunda badala ya kuyapoteza.”
(Al-Mahasin - Al-Barqi, uk. 441)

Your Comment